nauza suzuki swift ikiwa kwenye hali nzuri sana na sifa zifuatazo
-Gear automatic
-Full AC
-Power windows
-ina Km 127,000
-haijawahi kupata ajali yoyote kubwa wala kupigwa rangi
bei ni mil 4.5 na haipungui. Cheki picha ukipenda njoo tufanye biashara 0685369349