Nauza suzuki swift 4.5mil

Nauza suzuki swift 4.5mil

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
IMG_20171026_130115.jpg
IMG_20171026_130106.jpg
IMG_20171026_130053.jpg
Wadau nauza suzuki swift ikiwa katika hali nzuri sana gari ina ac inayofanya kazi zr...baridi kama uko urusi engine haijawahi kufunguliwa automatic gear milango mitano
km 121,300 haijawahi kupata ajali yoyote kubwa wala haijawahi kupigwa rangi
Interested party njoo 0685369349 nitakutumia picha na any other details.
 
Ushauri mkuu - shusha bei hiyo nikubwa sana,amzia kwenye 3 ili uuze kwa 2.6,ni ushauri tu
 
kama bado ipo joo uchukue 2.5m very siriazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom