nauza suzuki escudo old model

code4494

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
819
Reaction score
1,238
Kama title inavyoonesha...gari IPO inatembea namba A...bei mil 6...
Anyone who is interesting anichek DM..gari ipo Dar es salaam
 
Kama title inavyoonesha...gari IPO inatembea namba A...bei mil 6...
Anyone who is interesting anichek DM..gari ipo Dar es salaam
Gari uuze wewe,lakini ulazimishe sisi tukucheki wakati hakuna hata picha.
Rubbish kabisa,jaribu kupitia wenzako wanavyoandaa matangazo hutopungukiwa mkuu.
 
Weka picha na taarifa nyingine muhimu.
Bei elekezi kwa gari hilo iwe milioni 4.
 
Bei yako ni katili kwa aina hiyo ya gari
 
Kama title inavyoonesha...gari IPO inatembea namba A...bei mil 6...
Anyone who is interesting anichek DM..gari ipo Dar es salaam
Anyone who is interesting=Ras simba[emoji15]
 
Models zipo nyingi kwa sasa, sasa hiyo old model inaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…