Ambapo we uko wapiUkiuza huo mkweche hata tu kwa Tsh milioni tano, mie ntakunya hapa mpaka Mwenge.
Goba!Ambapo we uko wapi
Hiyo sio gari yakuuza 9.5 millions.
Kwanza ni Manual (wengi sasa wanakimbilia Auto)
Pili ya muda kidogo miaka 21 sasa tangu itengenezwe (1999)
Tatu imetumika second second hand. (Yaani wewe mwenyewe ulinunia iliyotumika japo uliagiza)
Nne demand ya wa Tz wengi ni kwenye Toyota.Ambapo kwa mil9 angeweza kuagiza direct akapato aina ya Toyota nzuri tu toka Japan
Tano hali ya uchumi imekuwa ngumu sana,Kutoa milioni 9.5 kwa hicho kigari ni Anasa.
Hapo walau waanzie watu 5 million wahitaji wanaweza kukununuza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utauza mkuu,uwe mvumilivu na wakatishaji tamaa,pia bei isizidi 5m kama wadau walivyoshauri hapo juu
Imekatika bampa la chini, rangi tayari imepauka, viti ndani vimechanika, milango mitatu,Mkuu, hii so gari kwa ajili ya kila mtu, ni kwa ajili ya watu wanayoifahamu.
Nimepokea offer kubwa kuliko hiyo 5m so far, but bado sijaridhika.
Comments nyingi ni za watu wasiojua wanaodhani wanajua.
Nitauza, tena kwa bei nzuri kwa mtu anaejua anataka nini