Nauza subwoofer

Andy ryn

Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Aina 'KODTEC' inapiga muziki balaa ina spika 2 na ina uwezo wa kupiga radio papo hapo,bei sh.elf 60 haipungui.
0713133633
 
Hizo speaker zipo kwenye kundi gani mkuu, Home Threaters au Multimedia Speakers na ni KT number ngapi?
 
hbu nikucheki kwenye simu mkuu unielezee huo mziki balaa ndo ukoje
 
ishachukuliwa?manake idd ndo hiyoo na ninataka mziki mnene.mia
 
Boom limeisha...Usiuze chuo karibia kifungue.
 
Ingekua inapungua ningeichukua!
 
dukan pia ni bei hiyo hiyo...halafu jukwaa la matangazo madogo ni juu hapoyan kabla ya hili jukwaa..peleka uzi huu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…