Nauza Subwoofer (Bado Mpya)

Blacklist

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
46
Reaction score
11
Wakuu,

Nauza Subwoofer aina ya Sea Piano bado mpya kabisa, ina box lake, remote control, audio cables, speaker 2 za stereo. Ina option ya ku playa kwa Bluetooth, memory card na flash disk, pia unaweza kuunganisha mic mbili kwa pamoja. Pia ina fm radio na ina mdundo mzuri na haina tatizo lolote.

Naiuza kwa sababu na shida ya pesa nimepata dharura.
Bei 150,000 tuu maongezi yapo

Kwa anae hitaji anichek hapa 0626852910 nipo tabata.


 
Mbona bei ya dukani hiyo mkuu?
Mkuu dukani nimechukua laki na 80 kuna punguzo la elfu 30 hapo, na ina wiki 2 tuu toka nichukue. Still unaweza kuongea bei yako tukafanya biashara
 
jamaa anauza mzgo mwngne anakurupuka sjui magu maana yake anataka kutuaminisha kila anayeuza kitu humu ana wakati mgumu..UPUUZI UPUUZI TU, pia mkuu hiyo sub kkoo 150 tu unaipata pengne umepgwa all ze best.
 
Iyo bei ya shop unapewa na listi ya Tra unachangia mapato ya nchi
 
Kaka mi nijiripue kukusaidi nikupe 60K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…