Nauza subwoofer aina ya Sony ni original kabisa na sio feki na inapiga CD 1 ,flash,unaweza ingiza sauti ya tv ikatokea kwenye redio,inaweza kuunganishwa na pc kupigia mziki unaweza kuunga speaker zake zikawa wireless yaan ina sifa kibao na mziki wake kama umepanga unaweza pewa notes bei ni tsh 550,000 na mawasiliano 0715 505115 ,0753505115 au 0689330820.
Nauza subwoofer aina ya Sony ni original kabisa na sio feki na inapiga CD 1 ,flash,unaweza ingiza sauti ya tv ikatokea kwenye redio,inaweza kuunganishwa na pc kupigia mziki unaweza kuunga speaker zake zikawa wireless yaan ina sifa kibao na mziki wake kama umepanga unaweza pewa notes bei ni tsh 550,000 na mawasiliano 0715 505115 ,0753505115 au 0689330820.View attachment 639797View attachment 639798View attachment 639799View attachment 639800View attachment 639801