B Beatrice Martine Member Joined Aug 9, 2016 Posts 22 Reaction score 5 Oct 25, 2016 #1 Habari. Nauza stand za tv na redio. Ni imara na zinastahimili uzito na zinapatikana dodoma west chinangali karibu na hijra au chama kubwa (ccm) kwa bei ya shilingi elfu 60 (60000) nitafute kwa namba 0764858251 au 0689922279
Habari. Nauza stand za tv na redio. Ni imara na zinastahimili uzito na zinapatikana dodoma west chinangali karibu na hijra au chama kubwa (ccm) kwa bei ya shilingi elfu 60 (60000) nitafute kwa namba 0764858251 au 0689922279
Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 891 Reaction score 537 Oct 25, 2016 #2 Unaposema stand za TV ni kiti tofauti na hizo Picha hizo ni meza za TV mi nataka stand ya kubeba flat TV 52" unayo
Unaposema stand za TV ni kiti tofauti na hizo Picha hizo ni meza za TV mi nataka stand ya kubeba flat TV 52" unayo
B Beatrice Martine Member Joined Aug 9, 2016 Posts 22 Reaction score 5 Oct 25, 2016 Thread starter #3 Luushu said: Unaposema stand za TV ni kiti tofauti na hizo Picha hizo ni meza za TV mi nataka stand ya kubeba flat TV 52" unayo Click to expand... Hapana sina
Luushu said: Unaposema stand za TV ni kiti tofauti na hizo Picha hizo ni meza za TV mi nataka stand ya kubeba flat TV 52" unayo Click to expand... Hapana sina
Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 891 Reaction score 537 Oct 25, 2016 #4 Poa jitahidi kuuza bracket za ukutani hizo meza zimeshapitwa na wakati ni ushauri wangu tu ili kuboresha biashara yako
Poa jitahidi kuuza bracket za ukutani hizo meza zimeshapitwa na wakati ni ushauri wangu tu ili kuboresha biashara yako