Nauza sofa 3M- Upanga Dsm

Used 3m? Mshafanyia mapenzi na matambiko? Na waganga wenu walikaa hapo wakiagua? Kuna wakati mwingine huwa tunaleta matatizo home kwa kununua vitu used na kusumbuka kwenda kwa Manabii kuuziwa maji ya upako!
 
Nakazia unakuta kila style hapo zilitumika na hata kujifutia nanihii.
 
3M mtu anapata recliner safi iliyonyooka.

Hebu kuwa serious kama unauza.
 
Dah million 3 kwa hiyo sofa hata demu akikutembelea ghetto atakudharau. Si bora ununue China sofa kali mpya kwa million moja hiyo hadi usafiri kodi na ushuru.

Your browser is not able to display this video.
 
Milioni 3 sofa tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
dahh milioni 3๐Ÿฅน
 
Million tatu kiinua mgongo cha mwalimu wewe unakalia tu mh
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ