Kali ya mwakaKweli Moss ile T.V niliyokupa zawadi mimi kama Mjomba wako ndio umeamua kuiuza kwa bei ya hasara hivyo tena bila ya kumshirikisha mkeo?
Kweli Moss ile T.V niliyokupa zawadi mimi kama Mjomba wako ndio umeamua kuiuza kwa bei ya hasara hivyo tena bila ya kumshirikisha mkeo?
Nataka nikanunue zawadi na sare za madera rafiki atakuwa na shughuli jumatano uncle..Kweli Moss ile T.V niliyokupa zawadi mimi kama Mjomba wako ndio umeamua kuiuza kwa bei ya hasara hivyo tena bila ya kumshirikisha mkeo?
vingapi unatumia vya mchina mpaka ushangae tv mkuuHizi TCL ni made in China???
Sort of panicking.vingapi unatumia vya mchina mpaka ushangae tv mkuu
Hahaha aisee zile sms za waganga unatufanyia na huku mkuu....Kweli Moss ile T.V niliyokupa zawadi mimi kama Mjomba wako ndio umeamua kuiuza kwa bei ya hasara hivyo tena bila ya kumshirikisha mkeo?