Kevin Fame
New Member
- Oct 26, 2013
- 1
- 0
Naitwa Kevin nipo Dar. Nauza Samsung Galaxy star GT S5282. IPO kwenye halo nzuri nmeinunua kama mwezi tu umepita. Ina kila kit name box lake bei: 160,000/= Tshs maelewano yapo. Kwa walio serious kununua namba Yangu ni: 0715 544 844. Tafadhali piga kuanzia SAA moja kasoro kwani natoka shale.
Ongeza bidii kwenye masomo mkuu, bado sana
kila la kheri
kwani hujamuelewa mkuu,. Kama vipi muanzishie darasa la kiswahili utakuwa umemsaidia sana!![/QUWewe na hao wenzio ndio mnaotuharibia jukwaa letu na hizo lugha zenu za kifesibuku.
hahaaa hekim mzee wa matangazo madogomadogo
hahaaa hekim mzee wa matangazo madogomadogo