Nauza simu yangu

Mcdad

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
38
Reaction score
14
wandugu nimepata dharula ya hela kidogo nimeamua kuuza simu yangu tecno w3 ipo kwenye hali nzuri kabisa nipo Dodoma 0652399916
 
Tecno zinauzwa sana humu. Kila simu inayouzwa ni Tecno.
 
Biashara haifanyiki ivo mkuu
Katika Tangazo lako inabid liwe na Picha, Bei pamoja na Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…