Richard R Monyo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 242
- 265
Hebu weka bei na wewe
Katika hizo kilo tano za bangi mi naongeza nusu kilo ya unga wa dona.Chukua kilo tano mkuu.
Mkuu mm nataka nijinyanyulie hyo simu kali we unaleta masihara,Katika hizo kilo tani za bangi mi naongeza nusu kilo ya unga wa dona.
Acha kuleta usanii mkuu namba hiyo apo imewekwaChuku laki mbili na 50 mkuu nataka simu mkuu