Ninayo nimetumia miezi 2 nataka 350000Habari zenu wakuu humu ndani...mm ni muhitimu wa diploma ya uhasibu.Nimeshafanya interview karibia 50 mpaka sasa sijabahatika kupata kazi.Tena interview ya Mwisho nilifanya pale chuo cha kodi.Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimeamua kuuza simu yangu iPhone 5s nmetumia mwezi 1 tu.Bei ni shs.650,000/=.
Huku ni kumharibia biashara mkuu kwa nini na wewe usianzishe uzi wako?Ninayo nimetumia miezi 2 nataka 350000
Pm meNinayo nimetumia miezi 2 nataka 350000
Nikupe 300 sababu tayari tuna 6&7.Habari zenu wakuu humu ndani,
Mimi ni muhitimu wa diploma ya uhasibu. Nimeshafanya interview karibia 50 mpaka sasa sijabahatika kupata kazi. Tena interview ya mwisho nilifanya pale chuo cha kodi. Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimeamua kuuza simu yangu iPhone 5s nimetumia mwezi 1 tu. Bei ni shs.650,000/=.
iPhone 5s 350,000 number 0717272750Ninayo nimetumia miezi 2 nataka 350000
Yangu haina shida yoyote unaweza ukaiona hata nikupe ukae nayo one week ndo ulipe,nimenunua iPhone 6+ ndio maana hii nauza.Am sure hizo za 350,000... Touch id lazima haifanyi kazi....
Muwe mnasema na matatizo bhuana...
Kupata 5S hata kwa 450,000 utaitafuta sanaaa..
Ninayo nimetumia miezi 2 nataka 350000