Gantar gal
Member
- Jun 29, 2014
- 78
- 6
bei ni 680,000/=
nauza kwasababu nahitaji kuongezea hela ninunue nyingine
Nasikia hizo simu zina matatizo ya kujizima, sio mar moja wala mar mbil kusikia hizo kesi
Mmhh hta sijui mbona rafiki yangu anayo mwaka aijawahi kumzimikia yake
Wanasema zina matatizo ya kujizima yenyew mar kwa mara, ila sijawah experience hlo tatizo so sina uhakika
Nasikia hizo simu zina matatizo ya kujizima, sio mar moja wala mar mbil kusikia hizo kesi
It might be true lakini nadhani ni tatizo dogo. mine was behaving like that, but i came to note that the battery placement was not tight. Sio tatizo la kukufanya usinunue linatibika bila fundi.
bei ni 680,000/=
nauza kwasababu nahitaji kuongezea hela ninunue nyingine
Hivi unaanzia wapi kununu simu ya laki sita.?