Wakuu habari zenu!!
Nauza simu aina ya samsung galaxy s3 original nyeusi, nimeitumia miezi 7, haina mchubuko kokote mwenye kuitaji tuwasiliane inbox.
Sababu ya kuiuza; nimenunua s4 jana.
Mkuu @Rwabukambara your private message nimeshindwa kuisoma server ya jf imegoma inasema sitoweza soma private message until niwe na atleast post tano, kwaiyo iyo sms yako itume hapa hapa ubaoni mkuu wangu