Hassan wenger
Senior Member
- Aug 21, 2014
- 181
- 32
Nauza simu Techno P5 kwa bei ya hasara ya Tsh laki moja tu.Simu ni nzima kabisa sababu ya kuiuza ni kupata hela ya kufanya application za chuo TCU.
Ahsanteni
Ahsanteni
Upo wapi
Nauza simu Techno P5 kwa bei ya hasara ya Tsh laki moja tu.Simu ni nzima kabisa sababu ya kuiuza ni kupata hela ya kufanya application za chuo TCU.Ahsanteni
kwa nini?
Umepata hyo hela?
Ungekuwa Arusha ningekupa but Uko Dar Poa kijana komaa na mambo ya mcngi
Vipi unatoa na risiti? Punguzo la bei lipo?
Nauza simu Techno P5 kwa bei ya hasara ya Tsh laki moja tu.Simu ni nzima kabisa sababu ya kuiuza ni kupata hela ya kufanya application za chuo TCU.Ahsanteni
Umeuza?