Nauza simu Infinix hot7

Nauza simu Infinix hot7

Mfaume01

Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
13
Reaction score
3
Simu Aina ya Infinix hot7
Bado mpya Bei Tsh 250,000/-.

Piga 0656831415/0687131423
IMG-20190612-WA0002.jpeg
IMG-20190612-WA0001.jpeg
 
Ukifika kwenye 170000 ni PM chapu tumalize bznes
 
230000 kula
kama upo serious nakuuzia yangu ina mwezi na receipt yake juu ya dukani ya 270,000....full box na kila kitu chake...
issue is utaongezea kidogo ya usafirishaji maana nipo mbeya huku...
sababu ya kuuza ase nilienda shop kutafuta j2 samsung...kwa wakazi wa mbeya huwa simu tunanunua kwa mtawa tu..sasa nipo shop pale nikakutana na mwenzangua ananunua hii nilivutiwa nayo ..ila mwisho wa siku baada ya matumiz sijaielewa kiivo...
 
kwa mwenye thread
my apologies maana nimeona namimi nimedakia kuuza yangu mahala pasipo...
natumai muelewa...
 
Inauzwa
Samsung A10
Mpya kasoro box

Location- sinza

Bei 250000/-
images~2.jpeg
 

Attachments

  • images~2.jpeg
    images~2.jpeg
    24.2 KB · Views: 22

Similar Discussions

Back
Top Bottom