Nauza simu I phone4 @ 850000

Nauza simu I phone4 @ 850000

Allen lema

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
23
Reaction score
0
Nauza I-phone4 zipo mbili bado mpya bei 850000 nipo dar es salaam ukitaka kunipata number yangu ni 0715966715
 
Nauza I-phone4 zipo mbili bado mpya bei 850000 nipo dar es salaam ukitaka kunipata number yangu ni 0715966715

Chief mbona unauza bei y hasara hivyo? Zina shida gani? Cos kuna jamaa yngu mmoja alitaka kuniuzia USD 1,500 (Tshs 2.3 mil) though ameitumia almost a year or so
 
Ipo pouwa kabisa bado mpya kabisa zipo mbili kama nataka njoo uzione zipo pouwa kabisa
 
Hazina shida yoyote stil bado mpya kama unazitaka njoo uzione nipo mwenge
 
Chief mbona unauza bei y hasara hivyo? Zina shida gani? Cos kuna jamaa yngu mmoja alitaka kuniuzia USD 1,500 (Tshs 2.3 mil) though ameitumia almost a year or so

yaani wabongo bana....mbona wezi hivyo??? kuna mtu anazitoa kwa bibi hizo hizo anauza pauni 300.....wewe hiyo mnywamwezi buku jero inatoka wapi?
 
Hazina tatizo lolote bado mpya kama nahitaji njoo mwenge number yangu ni0715966715
 
Kama unahitaji njoo uzione bado mpya kabisa hazina tatizo lolote
 
Bado mpya kabisa njoo hazina tatizo lolote kama unahitaji njoo mwenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom