Simu hizo zina matatizo sana tena sana. Afadhali K9 kidogo ni nzima. Kuwa mkweli. Usiwasukumie wenzako mizigo, ni dhambi kwa Mungu. najua utanichukia lkn nasema kweli. Mimi nimeliweka ndani ndio nikanunua K9, afadhali ingawa nazo siyo kihivyo katika ubora wa smart phones! Pole kwa ukakasi wa post yangu!