Habari wakuu. Nnayo kampuni inayojishughulisha na plumbing and water sanitation. Kampuni ina vyeti vyote vilivyotolewa na mamlaka husika ikiwa ni pamoja na CRB, BRELA na TRA. Nimeamua kuuza shares zangu zote ili nifanye shughuli nyingine. Ukiwa interested tafadhali pm kwa maelezo zaidi
Sent using
Jamii Forums mobile app