Constantine1
Member
- Jun 14, 2016
- 31
- 7
Hayo maelezo hayatoshi kuuza shamba, weka sample ya mkataba tuone kama ni lako kweli kama na wewe ulinunuaShamba lipo mikumi njia ya kwenda kilosa, Lina ukubwa wa heka 20 linapakana na mto ni sehemu nzuri kwa kilimo cha umwagiliaji,ufugaji wanyama hata kufuga samaki.
muhitaji WA kweli nitamuuzia kwa bei nzuri Sana.
kwa mawasiliano nipigie 0754524206
Hayo maelezo hayatoshi kuuza shamba, weka sample ya mkataba tuone kama ni lako kweli kama na wewe ulinunua
kilomita 39 toka mikumi kwenda shambani.Kutoka mikumi ni umbali gani hadi shamba lilipo ?
Hilo shamba limesafishwa au bado ?
Mazao gani yanaweza kustawi ktk hilo shamba ?
kilomita 39 toka mikumi kwenda shambani.
panafaa kulima maharage, ufuta, choroko,kunde, mahindi,mpunga,mboga za majani,matunda,ndizi ,kakao,pamba nk
Ni virgin land bado haijalimwa Ina vichuguu na miti ,hapo unaweza kuona rutuba yake ni kubwa.Shukrani kwa taarifa, samahani tena:
Nitashukuru kwa majibu ya kila swali, asante.
- Hilo Shamba limesafishwa? na lina vichuguu?
- wewe ni mwenyeji wa hapohapo mikumi?
- Hilo shamba lina hati halali ya serikali au ya kienyeji (itokanayo na kijiji)?
- Hilo shamba ni lako?
- Hilo shamba lipo ktk kijiji gani (nataka nijaribu kulocate kwenye google earth hicho kijiji)
- na wilaya ya (Mikumi)?/kilosa au Kilombero?
- Najua Mikumi imepakana na mbuga ya mikumi, vp hakuna wanyama wakali kama simba na wengineo ambao wanaweza kufika hapo?
Mkuu hili shamba bado lipo?Shamba lipo mikumi njia ya kwenda kilosa, Lina ukubwa wa heka 20 linapakana na mto ni sehemu nzuri kwa kilimo cha umwagiliaji,ufugaji wanyama hata kufuga samaki.
muhitaji WA kweli nitamuuzia kwa bei nzuri Sana.
kwa mawasiliano nipigie 0754524206
Hapana aliniuzia mimi...utani tu,naona yupo kimyaMkuu hili shamba bado lipo?
Asante weedHapana aliniuzia mimi...utani tu,naona yupo kimya
Hao nyoka itakuwa sehemu ya mifugo katika hiyo shambaHicho kijijj kina majoka makubwa balaa...yale makoboka na black mamba yako sana hapo
Mkuu hili shamba bado lipo?