Giannis Antetokounmpo
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 134
- 65
Tshs 5,000,000/Heka 40Nauza shamba muheza ni ekari 40,bei yake ni 5 million..tuwasiliane.
Mwongo weweNauza shamba muheza ni ekari 40,bei yake ni 5 million..tuwasiliane.
Limesafishwa kama ekari tano hvi,,chanzo zha maji kuna mto pale haupo mbali na shamba walkable distance,lina documents halali za umiliki,, na pia ilo shamba nilijenggea servant quarter ya sema bado finishing ina mabati lakn, kutoka kwenye lami ni kama dakika 25-40 na linafikika mda wowote hata kama mtu ana vits,,sababu ya kuuza ni kwamba is that nna project yangu nyingne nataka kufanya,, as u know muheza u can plant mahindi, maharage, machungwa, maembe, kunde mihogo,,siuzi sehem nauza lote, bei ni fair sana coz unapata na servant quater so bei haipungui ,..Tshs 5,000,000/Heka 40
= Tshs 125,000/heka
1) Limesafishwa??
2) Linafaa kwa kilimo gani??
3) Linafikika kwa gari muda wote??
4) Liko umbali gani kutoka mji wa karibu??
5) Umetumia vipimo gani katika kila heka 1??
6) Source of water ni nini?
7) Lina Documents gani za umiliki??
8) Kwanini unaliuza??
9) Bei inazungumzika??
10) Unaweza kuuza sehemu ya shamba kwa ambae hataki lote??
Kwann unaniita muongoMwongo wewe
Kwakuwa hakuna kitu kama hicho Muheza hata iwe mbali na mji kiasi gani labda kama unauza pori laekari hizo.Kwann unaniita muongo
SawaKwakuwa hakuna kitu kama hicho Muheza hata iwe mbali na mji kiasi gani labda kama unauza pori laekari hizo.
HongeraSawa
weka namba ya simu. Muheza sehemu gani , umbali kutoka barabara kuu ni km ngapi@Nauza shamba muheza ni ekari 40,bei yake ni 5 million..tuwasiliane.
Viking pitia comment kama tatu za mwisho kuna majibu,,weka namba ya simu. Muheza sehemu gani , umbali kutoka barabara kuu ni km ngapi@