shamba ekari moja kwa bei ya million 5 maelewano yapo, lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo kikuu huria au open university, panaitwa viziwaziwa, ni umbali wa kama kilometre 4 toka barabara ya morogoro, kama upo tayari na unaitaji nicheki kwa namba hii...0652-110878