Ninauza Shamba langu lipo Fukayosi lipo mita 200 tu kutoka barabara kuu ya lami iendayo Msata.
Shamba lina ukubwa wa Ekari 5.
Limepimwa. bado kupata Hati.
Bei ni Tsh 2m@ Eka.
Napenda niuze zote kwa mtu mmoja.
contact: 0756 178 494
only phone calls no pm please.
Shamba lipo tambalale hakuna mabode. Linafaa kulimwa mananasi au kupimwa viwanja maana hapo ndio mjini kabisa umeme wa REA upo jirani.
Kwa sasa sijalima kitu niling'oa visiki mwaka jana.