Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,275
- 2,975
Dukani 240 wewe unauza 400?Wadau nauza hii cherehani sina matumizi nayo kwa sasa, nauza pamoja na kila kitu cheke. Bei 400k
Mawasiliano : 0763708877 (Whatsap)
Hapana hailipi. Naomba uje whatsap nikutumie picha zake kwanza!Chukua laki 2 nataka nimnunulie wifi yako
Bado hujaiona mkuu, njoo whatsaap nikutumie picha zake kwanza.Dukani 240 wewe unauza 400?
Hapo niliteleza, nimesha update pale juu.Unauza kitu/mashine unashindwa hata kuweka brand name yake?
Ni sawa na mtu atangaze kua anauza Gari bila kusema anauza Gari gani!
Nimeona mkuu,Hapo niliteleza, nimesha update pale juu.
Unastress sana mzee! Nimeandika pale picha zinagomaTangazo la kijinga sana hili bila picha.
Picha zinagoma siku kadhaa?.. acha utetezi dhaifuUnastress sana mzee! Nimeandika pale picha zinagoma
Hilo swali muulize MELO. Hii kero imekua kwa muda mrefu sasa.Picha zinagoma siku kadhaa?.. acha utetezi dhaifu
Hilo swali muulize MELO. Hii kero imekua kwa muda mrefu sasa.
Hilo swali muulize MELO. Hii kero imekua kwa muda mrefu sasa.
Jf haina tatizo mkuu, tatizo ni wewe mtumiaji.Hilo swali muulize MELO. Hii kero imekua kwa muda mrefu sasa.
Acha uongo dogoHilo swali muulize MELO. Hii kero imekua kwa muda mrefu sasa.
Sawa bhana, naona umeamua kuniumbua kiutuuzima? 😂