Nakupa mia tatuWakuu, nauza samsung galaxy s5 used kwa miezi mitatu. Bei Tzs 500,000/=
Nicheki 0652902994
Niko Dodoma.View attachment 411292View attachment 411293
Ipo cash money hiyoHapana mkuu ongeza mia mbili tufanye biashara
Kuna jamaa alikuwa anauza j3 190! mpya dukaniKama uhahitaji samsung galaxy j2 nichek, 280,000 kuna mazungumzo
Mpya dukan, laki 5, sasa yako used miez 3 wauza lak 5, utasubiri sanaWakuu, nauza samsung galaxy s5 used kwa miezi mitatu. Bei Tzs 500,000/=
Nicheki 0652902994
Niko Dodoma.View attachment 411292View attachment 411293
Mcheki member wa humu anaitwa kevin isaya ndo anauza simu toka nje ya nchi mimi hii nilkua nauza kiprivate zaidiNote 3 bei gani