Pionaire JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 1,595 Reaction score 1,135 Sep 18, 2015 #1 Habari wadau.. Nauza simu ya SAMSUNG GALAXY S4 kwa thamani ya TSHs.350000/=,haina tatizo lolote...imetumika kwa miezi miwili hivyo bado ina upya wake na haijachoka kabisa,ina rangi nyeusi,kwa atakayehitaji anicheck kwa 0712269097,ahsanteni.
Habari wadau.. Nauza simu ya SAMSUNG GALAXY S4 kwa thamani ya TSHs.350000/=,haina tatizo lolote...imetumika kwa miezi miwili hivyo bado ina upya wake na haijachoka kabisa,ina rangi nyeusi,kwa atakayehitaji anicheck kwa 0712269097,ahsanteni.
K kadumaster08 Member Joined May 30, 2013 Posts 78 Reaction score 15 Sep 18, 2015 #2 Tupia picha tuione.
Kabaizer JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 504 Reaction score 64 Sep 18, 2015 #3 Kuna 300k kama interested tuwasiliane!