willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,083
- 1,328
Niko mabibo NIT nduguUpo wapi
Mkuu naweza kutumaKumbe uko Dar.. Huko mbali. Mi nipo mkoani
250 simu ina siku 5Bei gani mkuu?
Kwa hiyo kama ungeibiwa laki 8 na simu ungeuza laki 8?!..250 simu ina siku 5
Samsung mpya hio ina 4G kwa hio bei haiwezekanChukua 100000
Hailipi kabisa simu ina siku 6 toka dukan ina uwezo wa 4G , very slim na great design hailipi kwa hio beichukua 150000 mkuu,ni pm
Hailipi kabisa simu ina siku 6 toka dukan ina uwezo wa 4G , very slim na great design hailipi kwa hio beichukua 150000 mkuu,ni pm
chukua 150000 mkuu,ni pm
Simu ipo mkuuIpo iyo simu?
Ni samsung duos grand prime+ inatangazwa kila siku kwenye radioAu boom
265dukani uliinunua sh ngapi mkuu
Ununue 265 uje uuze 230?,unatakesha sana,hiyo ili upate mteja uza chini ya 180,000 hata siku mbili haitamaliza,hivi unajua simu unayouza inatumia processor ya mediatek sawa tu na tecno au itel?