Nauza rice cooker l

vumiliag

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
418
Reaction score
770
SOLD
Nauza rice cooker litre 1.8 imetumika muda mchache
Inapatikana kimara mwisho (dar)
0692669235

Bei 45000
 
Chukua 30000

Halafu hiyo sufuria yake inabaki juu hivyo haiingii ndani?
 
Nakuongezea dau lamba 21,000 fasta kabla sijaipiga serenget lager
 
Zilikua mbili ivyo nabaki na moja pia napenda kutumia mkaa kupika wali ivyo huwa zipo ndani tu maana nlikua nazitumia nikiwa chuo
Basi sawa mkuu, na kwakuwa tayari umemaliza chuo na mimi nilisha maliza kitambo kidogo, alafu istoshe napenda sana kupikiwa wali kwa kutumia jiko la mkaa...teh

PM yangu umeiona..??
 
Zilikua mbili ivyo nabaki na moja pia napenda kutumia mkaa kupika wali ivyo huwa zipo ndani tu maana nlikua nazitumia nikiwa chuo
Sawa.
Hivi huyo wa kwenye avatar ni wewe..??
Maana Dahhhh...!!
Basi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…