Rizikibrown
Member
- Apr 16, 2023
- 5
- 3
Nauza ream paper bei 50000 kwa katoni, quality ya Double A 100%. Mawasiliano +255744827091 whatapp & Normal call.Delivery popote.
Ukijibiwa niite na mmCarton ina ream ngapi boss
Na wewe ukiitwa usinisahau na wewe kuniitaUkijibiwa niite na mm
Nawewe ukiitwa namimi niite😆Na wewe ukiitwa usinisahau na wewe kuniita
Nitawaita woteNawewe ukiitwa namimi niite
Hili swali likijibiwa mniite namlaza mtoto shemeji yenu hayupoCarton ina ream ngapi boss
Ream tanoCarton ina ream ngapi boss
Sasa mbona ndo bei za mtaani izoReam tano
kwani yeye kasema anauza kwa bei za wapi😅😅😅Sasa mbona ndo bei za mtaani izo
Ream tano BossCarton ina ream ngapi boss
Ukijibiwa niite na mm rim tano.
Carton ina ream tanoUkijibiwa niite na mm
Ni bei za mtaani kwa rejareja lakini hii ni quality tofauti na number one au za 40k ndio maana tunauza jumla 50k karibu boss.Sasa mbona ndo bei za mtaani izo
Vipi bei za mondi?Nauza ream paper bei 50000 kwa katoni, quality ya Double A 100%. Mawasiliano +255744827091 whatapp & Normal call.Delivery popote.View attachment 3561634
40kVipi bei za mondi?