Nauza Printer epson l382

Nauza Printer epson l382

kuxhinda

Senior Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
126
Reaction score
104
Wapambanaji nauza printer yangu epson l382 ina mwezi mmoja tu tangu niinunue, karibuni njoo ukague mteja alie serious
 
Hiyo printer nzuri kiasi hiko unaiuza elfu 50 mkuu!!!!!!
Mkuu bado ipo kwenye box kabisa, ndio wino wa kwanza bado sijabadili wino inaenda kwa 390 ipo Mwanza Buhongwa
 
Printer Nyeupe mimi sizipendi. Kwani hauna model hiyo ila zile nyeusi?
 
Mkuu kwa muonekano huo wa picha uliyoweka mbona printer haifananii kua ni ya mwezi mmoja?
 
Umezingua sana, yaani hujaweka picha ya printer, hujaweka bei na hujaweka pia mawasiliano.. Mimi naihitaji lakini mlolongo wa kukutafuta ni mrefu.. Kama upo serious na biashara weka contact tuongee..
 
Mkuu bado ipo kwenye box kabisa, ndio wino wa kwanza bado sijabadili wino inaenda kwa 390 ipo Mwanza Buhongwa
Kwa mwanza na imetumika sidhani kama watakuelewa kwa hiyo bei, dar wanauza mpya kwa 350
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom