Rajab20190423
Member
- May 25, 2021
- 30
- 14
Nauza pikipiki Honda Click 150 cc Bei Mil 6,500,000 ipo ktk good condition kwa mawasiliano zaidi piga namba 0718343299View attachment 2361802View attachment 2361803
Hiyo ndio bei yke mkuu nenda kaulizeUmepiga picha ukazoom mwenyewe ili ionekane kubwa, click ni kapikipiki kadogo sana kama zilivyo scooters zingine tu. Hata hivyo Honda click ni Pikipiki za gharama japo sio kwa hiyo mil 6.5
Click ni mil 4 tu
Nauza pikipiki Honda Click 150 cc Bei Mil 6,500,000 ipo ktk good condition kwa mawasiliano zaidi piga namba 0718343299View attachment 2361802View attachment 2361803View attachment 2361804
Nenda kanunue huko ZanzibarKwa hiyo bei unapata 2 mpya Zanzibar
Kwa hiyo bei unapata 2 mpya Zanzibar

mnazijua mnaziskiaBodaboda hiyoHiyo scooter au
Kuwa mkweli bwana laki saba na nusu haina tatizo?Nauza Pikipiki Bei Laki Saba Na Nusu Haina Tatizo LololteView attachment 2407764View attachment 2407765
Haina tatizo Njoo ukague boss kabla ya mauzianoKuwa mkweli bwana laki saba na nusu haina tatizo?
..Nauza pikipiki aina ya honda 125 click cc Bei 3,300,000 kwa maelezo zaidi piga no 0718 343299 View attachment 2407823View attachment 2407824View attachment 2407825
Duuh! AiseeNumber ipi hiyo?
Laki tatu na nusu huchukui?
Mzee wa matusi uko poa?Duuh! Aisee
Upo wap mkuuHaina tatizo Njoo ukague boss kabla ya mauziano
Kigamboni mkuuUpo wap mkuu
Sema chap
NafikiriMzee wa matusi uko poa?
Inaweza kuwa number A hiyo hajawa muwazi.