mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Picha niliipiga ila haikutoka vizuri kwani ni usoku ila kwa atakaehitaji nitamtumia kwenye simu yake kwa whatsapp bila ya shidaWeka picha halisi na sio hizo za mtandaoni maana pikipiki iliyotumika hapa mmmmh
Weka bei
Sasa hizo utakazotuma whatsapp si utume hapa au?Picha niliipiga ila haikutoka vizuri kwani ni usoku ila kwa atakaehitaji nitamtumia kwenye simu yake kwa whatsapp bila ya shida
Tena ni Used haina hata namba ya usajili kwa TanzaniaPicha niliipiga ila haikutoka vizuri kwani ni usoku ila kwa atakaehitaji nitamtumia kwenye simu yake kwa whatsapp bila ya shida
Hio hapo wakuuTena ni Used haina hata namba ya usajili kwa Tanzania
Mie nataka milioni 4 nakuletea hadi bandarini dar ila kama utaifuata wewe nakupa kwa 3.5 usafirishe mwenyewe.Weka picha yake halisi na bei tuyajenge mkuu
Jamani eee nauza View attachment 884153View attachment 884154Mie nataka milioni 4 nakuletea hadi bandarini dar ila kama utaifuata wewe nakupa kwa 3.5 usafirishe mwenyewe.
Kwa kweli sina uhakika na suala hili kwa kweli ila nakumbuka kuna jamaa alisafirisha na akalipia kila pamoja na namba ila haikufika 1m ila kwa usawa wa makuguli kwa kweli sijuiUshuru wake kwa huku Tanganyika ni ngapi?
Maana bidhaa kutoka Zanzibar kuleta huku si zinalipiwa tena ushuru?