Nauza pikipiki aina ya TVS HLX 125

Goi goi

Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
19
Reaction score
3
Pikipiki tajwa hapo inauzwa na ipo katika hali ya usalama kbisa nkimaanisha n mpya kbsa ina miez 4 haina tatizo lolote lile imetembea km 10,522 matairi bado ni mapya kbsaa,kingine kikubwa kuhus pikipik hii n kwamb ina uwezo wa kutmbea km 70 kwa lizre 1 tu hat boxer ansubr hap.......pikipik inaptikan morogoro kw serious buyer antfute kw namb 0654 486 098
 
Reactions: Ctr
wenzako wana wweka bei hapa nawe weka bei acha kubabaisha mkuu huko pm kwanini mbona umekungangania
 
Unataka serious buyer wkt ww hauku serious, weka bei ndo tukufwate pm
 
Pikipiki ina miezi mnne na kilometers 10522 hiyo sio mpya labda kama unaongea bei ya biashara na kama hauwezi kuweka bei hapa hapa ni bora usingeweka hilo tangazo
 
Bei ndio umegoma kuweka wazi?tembelea nayo mwwnyewe
 
Naona unabembelezwa kuweka bei mfalme wa morocco!skia hatuna shida na pikipiki yako wala pikipiki yoyote toa mapicha yako hapo,umepewa boda uendeshe unaitafutia mteja uiibe uuze eti PM hatuji hata AM acha hyo PM.Na upite kushoto usinitafutie bann!
 
πŸ˜‰ πŸ˜‰ πŸ˜‰ πŸ˜‰πŸ˜‰ πŸ˜‰ πŸ˜‰πŸ˜‰
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…