Nauza pikipiki 250R

Nauza pikipiki 250R

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Pikipiki iko vizuri haina tatizo!
 
Attachments

  • 250-3.jpg
    250-3.jpg
    746.3 KB · Views: 270
  • 250-2.jpg
    250-2.jpg
    711.6 KB · Views: 250
Bei ni TSH,5.6M mazungumzo yapo
 
CC ngapi hiyo

Ushaambiwa 250cc yakhe! kitu full kunesa, no kuhofia tope wala maji kinachanja mbunga tuuu boxer & mchina wataisoma namba hapo na hakuna cha pssspssxxxx bodabodaaa!!
 
CC ngapi hiyo

Ushaambiwa 250cc yakhe! kitu full kunesa, no kuhofia tope wala maji kinachanja mbunga tuuu boxer & mchina wataisoma namba hapo na hakuna cha pssspssxxxx bodabodaaa!!
Chezeya mjapenga weye!!
Nilegezee maalim shekh wangu Makamee ridhiki filmanshat!
 
Last edited by a moderator:

Ongea unafika ngapi nikuachie.
Nilitoka Arusha kwenda Singida Km 328 nilitumia saa 1:56
 
Last edited by a moderator:
Kaka ingawa unatangaza biashara lakini hapo Arusha-Singida kwa huo muda niache kwenye tuta ndugu yangu.. mmmm
 
Kaka ingawa unatangaza biashara lakini hapo Arusha-Singida kwa huo muda niache kwenye tuta ndugu yangu.. mmmm

Nadhani huijui XR250 au wewe si dereva wa pikipiki.
Piga mkadirio wa kawaida tu 100km/ dk30
 
makame hii pikipiki xr250 bado ipo?naitaji xr250r md 30 iliyosimama.wasap 0786363520
 
Kwa atakayeitaka asisahau kuwa TRA siku hizi hata kitu kikitoka Zhenj wanakula kodi utadhani kimetoka Italy.
 
yes inaeleweka kulipa kodi ni wajibu cha msingi iwe chombo msumari,post ya 2014 but unaeza kuta bado hajaiuza labda alisitisha kwa muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom