J Janeth George New Member Joined Nov 18, 2019 Posts 1 Reaction score 1 Oct 25, 2024 #1 Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam?
Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam?
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,309 Reaction score 1,150 Oct 25, 2024 #2 Janeth George said: Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam? Click to expand... Weka picha tuione kwanza.
Janeth George said: Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam? Click to expand... Weka picha tuione kwanza.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,785 Oct 25, 2024 #3 Janeth George said: Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam? Click to expand... Unaweza kuuza popote hata hapa JamiiForums wapo wateja pia . Weka picha na bei yako
Janeth George said: Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam? Click to expand... Unaweza kuuza popote hata hapa JamiiForums wapo wateja pia . Weka picha na bei yako
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,370 Reaction score 2,100 Oct 25, 2024 #4 Weka Picha tuione,.Sonara ni Mfanya biashara hawezi kupa pesa unayo hitaji.