43s4all Member Joined Aug 8, 2009 Posts 93 Reaction score 14 Jun 8, 2016 #1 Panasonic HDC-HS300. 3mos 1920 fullHD. Inatumea HDD (120GB) ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi kama unavyoona katika pictures ipo na external mic, bag,2 batteries na original box . ipo uk ninaweza kuituma bongo. Bei ni laki 6.
Panasonic HDC-HS300. 3mos 1920 fullHD. Inatumea HDD (120GB) ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi kama unavyoona katika pictures ipo na external mic, bag,2 batteries na original box . ipo uk ninaweza kuituma bongo. Bei ni laki 6.
mgangawaukoo JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 2,183 Reaction score 2,394 Jun 8, 2016 #2 tuma kwanza, mengine tutaongea!
T Twendenyuma New Member Joined May 12, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Jun 8, 2016 #3 Mimi naitamani niko Seychelles. Unaweza kunitumia kabla ya Malipo? Maana kununua kitu cash bila ya kukiona hasa electronic device very risk
Mimi naitamani niko Seychelles. Unaweza kunitumia kabla ya Malipo? Maana kununua kitu cash bila ya kukiona hasa electronic device very risk