Faka25 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,987 Reaction score 1,437 Jun 18, 2023 #1 Habari wanaForums, Nauza pallet kwa matumizi mbalimbali. Zinapatikana Mwanza, pasiansi. Bei kwa kila pallet ni Tsh.5000 kwa maelezo zaidi: 0672883431
Habari wanaForums, Nauza pallet kwa matumizi mbalimbali. Zinapatikana Mwanza, pasiansi. Bei kwa kila pallet ni Tsh.5000 kwa maelezo zaidi: 0672883431
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,739 Reaction score 24,065 Jun 18, 2023 #2 Me niko Moro nazihitaji ntazipataje
Faka25 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,987 Reaction score 1,437 Jun 18, 2023 Thread starter #3 Kwa morogoro itakua mbali kwenye usafiri mkuu.
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,423 Reaction score 10,023 Jun 18, 2023 #4 Zinatumika kufanya nn hizo mkuu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
S Stratopause JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 800 Reaction score 1,535 Jun 18, 2023 #5 mbarika said: Zinatumika kufanya nn hizo mkuu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Store kuhifadhi kuilinda MIZIGO isiguse chini ya ardhi
mbarika said: Zinatumika kufanya nn hizo mkuu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Store kuhifadhi kuilinda MIZIGO isiguse chini ya ardhi
Faka25 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,987 Reaction score 1,437 Jun 18, 2023 Thread starter #6 mbarika said: Zinatumika kufanya nn hizo mkuu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hizi zinatumika kiwandani kubeba kret za bia au soda,ambapo fork lift inabeba mzigo mkubwa kupanga kwenye gari au kushusha.pia zinaweza kutumika katika matumizi mbalimbali ,Karibu
mbarika said: Zinatumika kufanya nn hizo mkuu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hizi zinatumika kiwandani kubeba kret za bia au soda,ambapo fork lift inabeba mzigo mkubwa kupanga kwenye gari au kushusha.pia zinaweza kutumika katika matumizi mbalimbali ,Karibu
Faka25 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,987 Reaction score 1,437 Jun 18, 2023 Thread starter #7 Stratopause said: Store kuhifadhi kuilinda MIZIGO isiguse chini ya ardhi Click to expand... Ahsante kwa ufafanuzi.
Stratopause said: Store kuhifadhi kuilinda MIZIGO isiguse chini ya ardhi Click to expand... Ahsante kwa ufafanuzi.
Faka25 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,987 Reaction score 1,437 Jun 18, 2023 Thread starter #8 Pallet zipo nyingi sana Karibuni