Nauza Pajero Short Chasis

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Gari iko vizuri sana na haina tatizo lolote
Ina 4wd
AC iko safi
Automatic gear
Inatumia petrol
Power windows
Engine CC 2800
Ina km 83,000
Model ya mwaka 1997
Bei ni milioni 7 tu.
Angalia picha ukipenda karibu tufanye biashara 0788309409 ......Gari ipo Dar kigamboni ila kama wewe ni mnunuzi serious
 
ODO inasomaje mkuu?
CC Ngapi?
 
Kuna jingajinga linapigwa humu , miaka 20 , only 83, 000 km
Wewe halima wewe acha ukorofi haya majina haya!!! nani kakuambia kwamba umri wa gari di direct proportional na millage?

Kuna watu wana magari mengi hawategemee moja kama wewe na alivyonunua lbda ikaja ainanyingine aliyoipenda zaidi ndio akawa anaitumia mara kwa mara hili akawa analiwasha tuu kuakikisha lipo poa.
 
Poa mkuu. Ila chuma cha 1997 kilichosajiliwa namba "A" kutembea km 83,000 tu... Ulikuwa unakifungia ndani kukidekeza au?
ukitaka kujua kilaa kitu kama wewe mnunuzi njoo hata na fundi wako then ijaribu gari utapata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…