Nauza Nyumba

Nauza Nyumba

ujamaajulius

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
50
Reaction score
66
Ndugu wanajamvi,
Ninauza nyumba vyumba vinne, pamoja na shule ya chekechea kwa pamoja.
viko kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 4500sqm.Kiwanja kipo Pugu Kigogo Fresh.
kama utahitaji tuwasiliane. Hakuna mtu kati.

Nawasilisha
 
Toka 2015 mpaka leo 2017 hujauza tu.!!?? We hauko serious Kabisa, Chukua M50 nakulioa cash.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom