wewe hiyo mbili umeitoa wapi?kwanini milioni tisini na sio tisini na mbili
kweli mkuu maana mimi siamini katika kuuza asset labda kama alijenga kwa lengo hilo!!!nn sababu ya kuuza?
asante kwa kuja jf kwa ajili ya hiliJoin Date : 12th December 2012 Posts : 2 Rep Power : 0 Likes Received : 0 Likes Given : 0
mkuu naína wasiwasi na uelewa wako!!hebu angalia tena ndo u-paste huo uongo wako!!!!asante kwa kuja jf kwa ajili ya hili
Duh!swali kwa swali sijui kama tutamaliza dozi,nahisi kuchanganyikiwa!!wewe hiyo mbili umeitoa wapi?
Sawa nimekuelewa mkuu,kwa kusema ukweli garama za ujenzi kwa sasa zipo juu,lakini siyo kwa kiwango hicho.Cha ziada ni kuwa inawezekana bei za viwanja maeneo hayo zipo juu sana ndiyo maana amefika hapo!!
naogopa sana kuuza asset!!ukiona mtu amefikia kuamua kuuza kuna tatizo but kama kuna uwezekano wa kutouza ni bora sana!!!anyway jamaa sijui hana hata mke amkamate ugoni apate hiyo hela!! ha ha ha ha,natania!Sawa nimekuelewa mkuu,kwa kusema ukweli garama za ujenzi kwa sasa zipo juu,lakini siyo kwa kiwango hicho.Cha ziada ni kuwa inawezekana bei za viwanja maeneo hayo zipo juu sana ndiyo maana amefika hapo!!
Nakubaliana na wewe mkuu ,kuuza asset ni jambo baya sana,lakini waswahili wanasema " kimfaacho mtu ni chake"naogopa sana kuuza asset!!ukiona mtu amefikia kuamua kuuza kuna tatizo but kama kuna uwezekano wa kutouza ni bora sana!!!anyway jamaa sijui hana hata mke amkamate ugoni apate hiyo hela!! ha ha ha ha,natania!
ni kweli kabisa kimfaacho mtu chake!!!Nakubaliana na wewe mkuu ,kuuza asset ni jambo baya sana,lakini waswahili wanasema " kimfaacho mtu ni chake"
Hizi picha zinaoneka zilipigwa mwaka 2011,tafadhari naomba uweke picha 2012,ambazo ni za hivi karibuni!!
Mkuu acha kuaribu biashara ya mwenzio!!Hii nyumba ishauzwa mda mrefu mbona, au ni nyingie? .............ila ni kwa nini zinafanana ............Ogopa matapeli hata huku wapo!!!!!!!!
naogopa sana kuuza asset!!ukiona mtu amefikia kuamua kuuza kuna tatizo but kama kuna uwezekano wa kutouza ni bora sana!!!anyway jamaa sijui hana hata mke amkamate ugoni apate hiyo hela!! ha ha ha ha,natania!
Mkuu acha kuaribu biashara ya mwenzio!!