Nyumba ya vyumba vitatu inakuwaje lodge? Umechelewa wapi mpaka wezi wa NBC wakakamatwa?Nauza nyumba IPO IPO kivule m emben balabala ya kwa mkoremba ipo balabalan inafa kwa biashara Kama zahanati lodge n.k kwa maelezo Zaid 0772 151398
BEI milion55 maongezi yapoView attachment 1369460View attachment 1369461View attachment 1369462
Sent using Jamii Forums mobile app
da umenichekesha sanaaa mkuu kwahiyo angetangaza kabla jamaa wa nbc hawajakamatwa angeuza fasta?Nyumba ya vyumba vitatu inakuwaje lodge? Umechelewa wapi mpaka wezi wa NBC wakakamatwa?
We jamaa!!!Nyumba ya vyumba vitatu inakuwaje lodge? Umechelewa wapi mpaka wezi wa NBC wakakamatwa?
Nyumba ya vyumba vitatu inakuwaje lodge? Umechelewa wapi mpaka wezi wa NBC wakakamatwa?
Ingefaa kama angeweka ukubwa wa eneo, angeelezea kama maji, umeme, nyumba ipo mita ngapi kutoka katikati ya barabara then angeisifia kuwa inafaa kwa Biashara, Kuishi ao kuwa Ofisi lakini sio Guest house kama plan yake