iyo nyumba au choo, mbona inauzwa kwa bei rahisi hivyo, ina tatizo gani? maji yanaingia kipindi cha mvua? ya urithi?Habar zenu wana jf;<br />Kuna nyumba inauzwa ipo mwananyamala B" bei yake tsh 20ml ina vyumba tisa karibu(siitaji dalali) kwa maelezo nichek 0717 550291 au PM<br /><br />Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko bondeni itakuwaiyo nyumba au choo, mbona inauzwa kwa bei rahisi hivyo, ina tatizo gani? maji yanaingia kipindi cha mvua? ya urithi?
sawa.
Kwahiyo unasubiri hadi tuombe picha au!!?
Even a black folk hate to see another nigga made it..
Weka picha kwanza
iyo nyumba au choo, mbona inauzwa kwa bei rahisi hivyo, ina tatizo gani? maji yanaingia kipindi cha mvua? ya urithi?
Iko bondeni itakuwa
My own brand!!
Habar ndugu zangu;Sitaki kuwa muhanga wa bomoa bomoa
unaonaje ukisubiri msimu wa mvua ndio uiuze ili tuweze kupima hufikiwa na maji kwa kiasi ganiHabar ndugu zangu;
Ni kwl nimeona mchango wa mawazo yenu
1:kuhusu suala la picha naomba mnivumilie kesho ntatuma kwasababu kwasasa tunaishi kibamba kwahyo imekua vgumu kufika mwananyamala na kupiga picha
2;nyumba ni ya familia na mama yetu bdo yupo hai
3; pia ni kwl nyumba yetu inatatzo la kutoa maji hii inasababishwa na jiran kuziba mferej wa kutolea maji kwa nyuma
Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app