Nauza nyumba...

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,689
Habari zeni?
Nauza nyumba yangu iliyopo Magomeni Mapipa. Ni nyumba yenye vyumba zaidi ya kumi. Mwanzo ilitumika kwa shughuli za bar na malazi lakini kwa sasa imekarabatiwa kwa mtindo wa nyumba za kupanga.

Ipo maeneo ambayo gari kufika ni shida lol...
Bei ni milioni 45.
Karibuni kwa wanaohitaji.
 
Leta picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…