Shadya9
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 241
- 71
Nauza hii nyumba pamoja na kiwanja kilichoizunguka hii nyumba,,kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu,,zitokanazo na tatizo la kiuchumi linalonikabili
Picha ya nyumba kamili ni hio hapo..nimeweka picha takribani 4 pamoja na kiwanja Chake
Picha izo hapo chini👇👇👇👇👇
Nyumba hii ipo Mabwepande na ipo karibia na huduma zote za kijamii ikiwemo shule ya msingi na hospital
Kwa Wanunuzi makini Bei ni Milion 35 za Kitanzania mazungumzo yapo,,bei itapungua kidogo
Mawasiliano yangu ni +255 688 913 666
(0688-913 666)
Ahsanteni karibuni saana!!!!!!