Gracie Joe
Member
- Aug 19, 2014
- 47
- 14
AISEE NYUMBA NZURI SANA INGEKUWA KWETU HIYO? NGOJA WAJE WENYEWE WA HUKO
Mr. commited NYUMBA INAUZWA HIYO NENDA KAICHEKI
Inabidi tuku- PM? Mbona haujaandika mawasiliano yako!
Je una asili ya Kigoma na ungependa ujenge nyumba kwenu?
Je umejaribu mara kibao kutuma pesa nyumbani kwa ajili ya ujenzi na umeishia kugombana na ndugu ambao wamekula pesa zako?
Usiwaze zaidi, maana
Ninauza nyumba iliyopo Mjimwema juu kidogo ya Game kwenye kilima kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 50X30. Nyumba ina view nzuri sana katika pande 3 ambapo pande moja unatazama Mlole na town center, pande zingine unatazama ziwa.
Nyumba imejengwa kwenye upande wa juu kabisa wa kiwanja hivyo kuna nafasi ya kujenga nyumba nyingine bila kuathiri view ya nyumba ya kwanza. Waweza boresha na kufanya hoteli, ni eneo zuri. Juu kidogo kuna hoteli inajengwa.
Ina vyumba 3 vya kulala, sebule, dining, jiko lenye makabati yake na car park yake ni california style.
Picha nitapiga nikienda mwisho wa mwezi, lkn nafikiri naweza pata picha chake kwenye archive yangu.
Bei ni sh 80 mil tu, dalali ahusiki.
Karibuni
Na watu wenye asili ya Dar wangekuwa wanauza hivi, jiji lingekuwa limeishia Manzese na Surrender bridge (joke), je ambae hana asili ya huko but yupo interested na nyumba haruhusiwi kuja PM kufanya biashara?
Wote mnakaribishwa, ni eneo zuri kwa investment kama unafikiria miaka 5 na kuendelea pale ambapo Kigoma itakapokuwa hub ya kibiashara kwa nchi za DRC, Burundi, Rwanda na hata Zambia.
Wenye pesa zao ni fursa kwa kweli, ningekuwa nazo ningejenga bonge la hoteli pale.
Vizuri ngoja tusaidie kujulisha watu
Hapa ni kwa nyuma au?
Ha ha ha! Jamaa katufanyia yale mambo ya mauzo ya gari kuambatana na mremo/warembo kwenye tangazo!
Jamani katoto aah, namaanisha Kanigini, sikuwa na lengo unalolifikiria; nimejaribu kutafuta picha maana sijapiga nyumba picha kwa ajili ya advert, nikaishia kuipata hiyo ambayo kwa kiasi fulani inaonesha how one can enjoy great view akiwa kwenye porch.
Nimekuelewa mkuu, ila hiyo picha imesaidia kuongeza comment humu ndani! Na hivyo wengi wataliona tangazo.
ila kina vitu hujatuambia mkuu, Kama kunachoo au ndi choo cha kujenga mwenyewe, wala huja ktk hivyo vyumba 3 vya kulala kuna master. Pia hujasema kama kuna umeme na maji umeishafanya plumbing. na je kama umeme na maji havipo vinapatikana umbali gani. ila mm ni MKULYA naona sina nafac
AISEE NYUMBA NZURI SANA INGEKUWA KWETU HIYO? NGOJA WAJE WENYEWE WA HUKO
Mr. commited NYUMBA INAUZWA HIYO NENDA KAICHEKI