Nauza nokia E51 kwa bei ya kutupa laki moja tu. Kama hupo tayari nicheki kwa 0713218388
Ongeza mkuu.. mimi nipo dar
95 bhaaaaas
halafu kwa wale wenye laptop...unaweza kutumia hii simu kama wireless access point ya intanet so kama una ka bando kako ka tigo/vodacom, unakafaidi kweli na kwa spidi ya juu..