Heeh mkuu njiwa feki na Og tena? Aiseeeekuna njiwa original na fake njiwa original shingo inacheza cheza na manyonya meng mkian na mkia unachanua googlr american fan tail pigion uone bei yake ya dunia
Sawa mkuu Asante kwa kutujuzakuna njiwa original na fake njiwa original shingo inacheza cheza na manyonya meng mkian na mkia unachanua googlr american fan tail pigion uone bei yake ya dunia
Vp huyo feki mkuuSokoni tandika DSM 25000
Original wanaenda mpaka laki tano mmoja pair milioni. Niliwaona Zanzibar.Heeh mkuu njiwa feki na Og tena? Aiseeee
Hahah!! eti njiwa mzuri mpaka anaringa... poa mkuu nmekusomaOriginal wanaenda mpaka laki tano mmoja pair milioni. Niliwaona Zanzibar.
Njiwa mzuri mpaka anajijua mzuri. Manyoya ya shingoni ni kama simba !
mweupe kama anacheza shingo ni originalVp huyo feki mkuuView attachment 726574
awape stata chakula cha kuku na aweke majan ya kamba kambaKuna jamaa mmoja anavyo analalamika havitaki kutaga
naona hujaelewa nini namaanisha ila nakuambia tu kufuga njiwa ni stareheMkuu hapa Dar mujini,
50 haitoshi Hata kwa siku moja ya kujiachia na Mchumba mpya kwa manywaji,makulaji na Supu asubuhi siku ya pili yake.
Kifupi ukilazimisha kulinganisha vitu kwa style yako hata kula unaweza kuona hakuna maana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].....kupanga ni kuchagua, kuna mwenzio hiyo 50k anamlipia demu nauli amletee 'mzigo' !
Kwa pair au mmoja?Sokoni tandika DSM 25000
Mmoja ila kwa pair mpka 20000 unapataKwa pair au mmoja?
Nahitaji 0788871919 nipo mbeya.