Nauza Nissan Bluebird

Nauza Nissan Bluebird

joniee

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
35
Reaction score
14
NISSAN BLUEBIRD
KM - 55K
CC - 1490
YEAR - 2006
FUEL - Petrol
SEATING CAPACITY - 5
BEI - 13.5M
Big Interior
Full AC
Full Documents
In mint condition
Gari ina muda mchache toka iagizwe iwahi sasa
Maongezi kiasi yapoView attachment 1142381View attachment 1142382
20190615_181111.jpeg
20190615_181154.jpeg
 
Write your reply...Gari nzuri sana ila kwa hiyo bei mkuu! ikifika 8mil nicheck kwa 0767932386 tumalize biashara.
 
Hizi gari tunaogopa spea zake maana ikifa moja leo kesho inakufa nyingine na kesho kutwa nyingine na kupata mpaka kenya au nje.
Ndio maana nissan tunazikimbia.
Au tushawishi tuone
 
Hayo ni maneno ya watu mzee, bluebird yangu ya pili hii na sijawai kosa spea hata siku moja
Hizi gari tunaogopa spea zake maana ikifa moja leo kesho inakufa nyingine na kesho kutwa nyingine na kupata mpaka kenya au nje.
Ndio maana nissan tunazikimbia.
Au tushawishi tuone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom